Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 4, 2013

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA VIETNAM MHE. VO THANH NAM
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za  utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam hapa nchini Mheshimiwa Vo Thanh Nam huko Ikulu hapa Dar es Salaam tarehe 4.11.2013.  Rais  Kikwete baadaye anaonekana akifanya mazungumzo na Balozi huyo.PICHA NA JOHN LUKUWI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...