Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, November 10, 2013

MAMA ASHA BILAL ASHEREHESHA USIKU WA KHANGA ZA KALE JIJINI DAR


 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti Miss Tanzania 2012,Brigitte Alfred, kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha sherehe za Usiku wa Khanga, zilizofanyika jana usiku Novemba 8, 2013 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mratibu wa Hafla hiyo,Asia Idarus.
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti mwakilishi wa Michuzi Media Group, Othman Michuzi, kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha sherehe za Usiku wa Khanga, zilizofanyika jana usiku katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mratibu wa Hafla hiyo,Asia Idarus. 
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti Mkurigenzi wa Gazeti la Jambo Leo,Benny Kisaka, kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha sherehe za Usiku wa Khanga, zilizofanyika jana usiku katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mratibu wa Hafla hiyo,Asia Idarus.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...