Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, December 31, 2010

CHEKA VS MAUGO KUCHAPANA KESHO

MADA MAUGO na FRANCIS CHEKA mara baada ya kupima uzito
http://janejohn5.blogspot.com/

ROMANI MNG'ANDE NA JENIFA MNG'ANDE


WAGAMBO WAENDELEA NA KAMATA KAMATA




Mgambo wa Manspaa ya Ilala akimvamia muhuzaji wa kamba za dirishani kama alivyokutwa mtaa wa kongo Dar es salaam

Thursday, December 30, 2010

WAMAMA WAJASILIAMALI WAMKUNJA NJEMBA NA KUMFIKISHA KITUONI





Kina Mama wajasiliamali wa kariakoo. Dar es salaam ambao awajajulikana majina yao wakiwa wamemkunja kwa ajili ya kumfikisha kituo cha polisi msimbazi mtu ambaye alitaka kuwataperi mali yenye thamani ya milioni kumi dukani kwao mtaa wa tandamti Dar es salaam jana

ASHANTI BOXINGI YAENDELEA NA MAZOEZI


Mabondia wa timu ya Ashanti Boxing ya Ilala,wakioneshana umahiri wa kutupiana masumbwi wakati wa mazoezi ya timu hiyo klabuni kwao juzi kujiandaa kwa mashindano ya Klabu ya mkoa hiyo, kushoto ni Miambo Mussa na Msami Khatib


Mabondia wa timu ya Ashanti Boxing ya Ilala,wakioneshana umahiri wa kutupiana masumbwi wakati wa mazoezi ya timu hiyo klabuni kwao juzi kujiandaa kwa mashindano ya Klabu ya mkoa hiyo, kushoto ni Miambo Mussa na Msami Khatib

Wednesday, December 29, 2010

WAZIRI WA SAYANSI NA TEKNOLOJIA ATEMBELEA TTCL



Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Bw. Makame Mbarawa akizungumza na waandishi wa habari, kuhusu mikakati ya maendeleo ya TTCL wakati alipotembelea Shirika hilo Dar es Salaam hivi karibuni

C.U.F BADO NGANGARI YAWASILISHA RASIMU YA KUIDAI KATIBA MPYA WIZARANI

Wafuasi wa Chama Cha Wananchi (CUF), wakiandamana kudai KatibaMpya leo jijini Dar es Salaam,, hadi Wizara ya Sheria na Katiba.Wafuasi hao walifanyikiwa kuwachenga askari na kufika wizarani.




PICHA NA http://richard-mwaikenda.blogspot.com/

TAIFA STARS YAANZA MAZOEZI YA NGUVU

WACHEZAJI wa timu ya Taifa, Taifa Stars, wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam, LEO
WACHEZAJI Nizar Khalfan (kushoto) na Athumani Machupa, wakishiriki katika mazoezi ya timu ya taifa, Taifa Stas, jana katika Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam
WACHEZAJI wa Kimataifa, Saidi Maulidi (kushoto) na Athumani Machupa, wakifanya mazoezi huku Kocha wa timi hiyo Sylvester Masha (katikati) akiwafuatilia kwa makini, Taiafa Stars ilipofanya mazoezi, katika Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam.picha na http://bashir-nkoromo.blogspot.com/

Tuesday, December 28, 2010

MNYIKA AWASILISHA HOJA BINAFSI YA KUDAI KATIBA MPYA


Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Bw.John Mnyika (kushoto)akiwasilisha taarifa ya hoja binafsi ya kudai Katiba mpya kwa Kaimu Katibu wa Bunge, Bw. Eliakim Mrema, Dar es Salaam jana

Sunday, December 26, 2010

TANGAZO LA DAWA YENYE NGUVU

ENZOY



DAWA YA NGUVU ZA KIUME NA MSISIMKO KWA
WANAWAKE WASIO NA HAMU YA TENDO LANDOA
AMBAYO HULETA MSISIMKO KWA WANAUME NA
WANAWAKE WAKUTANAPOO
SASA INAPATIKANA JIJINI DAR ES SALAAM
MAKUTANO YA BARABARA YA MSIMBAZI NA MTAA
WA KIPATA KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA
MATANGAZO KATIKA MTANDAO WA www.burudan.
blogspot.com burudan mwanzo mwisho PIGA SIMU
NO.0713 827689 AU 0755 074505 NA 0719 541366
ENZOY INAPATIKANA SEHEMU ZIFUATAZO KARIAKOO
SOKONI LANGO KUU ULIZA LUKINDO SIMU 0755
686929 BUGURUNI LOZANA STANDI YA TAX ULIZA
ADAMU SIMU 0755875884 KARIAKOO SHULE YA
UHURU STAND YA MABASI YA TANDIKA ULIZA ZUNGU
MUHUZA TIKETI SIMU 0712 743870 GONGO LA
MBOTO GRAD\u2019S BAR ULIZA MAPUNJA 0713 388956
ILALA SHARIFU SHAMBA DSJ BANDA NAMBA 14
ULIZA SWALEHE SIMU 071871671 KOTA ZA BANDARI
KARIAKOO FIKA MKUNGUNI KIBANDANI KWA
HUSENI SIMU 0753 893295 MWANA NYAMALA FIKA
JABA KLABU ULIZA MACHELLAH SIMU 0713 470492
MACHIMBO MWISHO WA LAMI LUMO WASILIANA
NA MR TICHA STUDIO SIMU 0713 272439 BUNGONI
MAFURIKO WASILIANA NA DR MWANGOME SIMU
0715/0754-232228 MALAPA FIKA MANENO SHOP
SIMU 0754 420621 MSIKITI WA MTAA LINDI KARIAKOO
ULIZA HABIBU 0719056833 VINGUNGUTI VIKA KONA
YA SPENKO NGALENI DABO SS PHOTO STUDIO
SIMU 0713572170 ZAIDI ULIZIA FUNDI MITAMBO ALLY
MOMBA SIMU 0715 260220 POPOTE ALIPO NA FUNDI
MITAMBO NA MTAALAMU WA VIFAA VYA UMEME
MR.KILINDA SIMU NO.O773/0715-565219
KARIBUNI ENZOY INALETA HESHIMA

Miss Tanzania atoa msaada kituo cha watoto yatima cha Msongola Orphanage Trust Fund

Vodacom Miss Tanzania Genevieve Emmanuel akimkabidhi ndoo ya mafuta ya kula Joyce Haule mmoja ya watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Msongola Orphanage Trust Fund kilichopo Mvuti wilayani Ilala jijini Dar es Salaam. Aidha kampuni hiyo kupitia kampeni yake ya ‘Share n Care’ pia ilikabidhi vitu mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili katika hafla iliyofanyika wakati wa sikukuu ya Christmas.

Na Mwandishi Wetu

KATIKA kusherehekea sikukuu ya Christmas mrembo wa Vodacom Miss Tanzania Genevieve Emmanuel ameitumia siku hiyo kwa kula pamoja na kutoa msaada wa vyakula kwa watoto yatima wa kituo cha Msongola Orphanage kilichopo Mvuti, Ilala jijini Dar es Salaam.

Akiambatana na warembo wengine akiwemo Alice Lushiku, Salma Mwakalukwa ambaye ni balozi wa utalii nchini na Anna Peter Genevieve aligawa mchele, maharagwe, sabuni, chumvi, sukari, unga, mafuta ya kula, maji vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya milioni 2/-.

Akizungumza baada ya kula chakula na kucheza na watoto hao, mrembo huyo wa Vodacom Miss Tanzania alimpongeza Mwenyekiti wa kituo hicho Chantal Bwami kwa kujitolea eneo lake kwa ajili ya kujenga na kuwalea watoto yatima takribani 30.

Genevieve alisema ingawa kuna baadhi ya watu wana uwezo mkubwa wa kifedha na kihali hawana moyo wa kumlea hata mtoto mmoja tofauti na Bwani ambaye amejitolea kuwalea, kuwasomesha kupitia misaada kutoka kwa wahisani mbalimbali.

“Nimefurahi kwa jinsi watoto walivyotupokea hali inayoonesha wanajisikia faraja kama wapo kwa wazazi wao. Kutokana na hilo naahidi kurudi tena Msongola Orphanage ili kujitolea misaada mingine ikiwemo vifaa vya kusomea,” alisema mrembo huyo.

Akisoma risala kwa niaba ya wenzake, yatima Happiness Saimon anayesoma kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Msongola alisema kituo chao licha ya kukabiliwa na matatizo mengi changamoto kubwa wanayoikabili ni ukosefu wa choo bora, eneo la kulia chakula na kituo kutokuwa na uzio jambo linalohatarisha usalama wao.

Kwa upande wake Bwani aliishukuru Vodacom Tanzania kupitia kwa Genevieve kutokana na kukipa kipaumbele kituo chao kilichopo kilometa 100 kutoka jijini hivyo kuahidi kuendelea kutoa huduma bora kwa yatima hao ili waweze kufikia malengo yao kimaisha.

Aidha Mtaalamu wa masuala ya habari wa kampuni hiyo Matina Nkurlu alisema msaada walioutoa ni muendelezo wa kampeni yao ya ‘Share & Care’ iliyolenga kuzifikia jamii zenye mahitaji ili kuweza kusherehekea vema sikukuu ikiwemo Christmas na mwaka mpya 2011.

“Leo kupitia Vodacom Miss Tanzania tumekula chakula cha mchana na kukabidhi vyakula mbalimbali kwa watoto hawa ili nao wajisikie wapo ndani ya familia kama watoto wengine na si kama yatima, Tunaahidi kuendelea kukisaidia kituo hiki kuendana na mahitaji kama tunavyofanya sasa,” alisema Nkurlu.

WASANI WA KIBONGO WANAOWEZA KUPIGA LIVE WATAKIWA A.KUSINI

MDAU WA MUZIKI TOKA AFRIKA YA KUSINI
MR.Artdealercpt

ANATAFUTA WASANII WATAKAOWEZA KUFANYA SHOO YA LIVE KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NAE KWA NJIA YA E.MAIL omgdolphin@hotmail.com
: I m an art dealer live in Cape Town.I would love to be in touch with Tanzanians artists(omgdolphin@hotmail.com)

Friday, December 24, 2010

KOCHA WA ASHANTI BOXING ATUNUKIWA CHETI

Kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila akionesha cheti chake alichotunukiwa leo
Rajabu Mhamila Super D akionesha Cheti Chake
Kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila Super D akiwa na cheti chake baada ya kutunukiwa leo


Mgeni rasmi wa kufunga Kozi ya Ukocha wa Mchezo wa Ngumi John Eyebel kutopka Chikago Marekani (kulia) akimtunuku cheti muhitimu wa mafunzo ya ukocha wa klabu ya Ashanti Rajabu Mhamila ,Super D baada ya kumaliza koz
Kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila Super D wa pili kushoto akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa timu hiyo baada ya kutunukiwa cheti kushoto ni Juma Mwalimu Miwani Emanuel Mgaya na Iddy Ramadhani


Mgeni rasmi wa kufunga Kozi ya Ukocha wa Mchezo wa Ngumi John Eyebel kutoka Chikago katikati juu akiwa katika picha ya pamoja na makocha wa mchezo huo baada ya kuwatunuku vyeti

Kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila Super D akionesha cheti alichotunukiwa na BFT
mafunzo



Baadhi ya washiriki wa kozi ya ukocha wa mchezo wa ngumi wakifatilia mafunzo
Kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila Super D akipeana mkono wa kwa heri na
Mgeni rasmi wa kufunga Kozi ya Ukocha wa Mchezo wa Ngumi John Eyebel kutoka Chikago

Kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila Super D kushoto akipeana mkono na Makamu wa Rais wa Shirikisho la Ngumi Tanzania Michael Changarawe baada ya kutunukiwa cheti cha ukocha

Mgeni rasmi wa kufunga Kozi ya Ukocha wa Mchezo wa Ngumi John Eyebel kutoka Chikago Marekani akipeana mkono na kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila Super D baada ya kumkabidhi cheti ya kuitimu mafunzo ya ukocha


Mgeni rasmi wa kufunga Kozi ya Ukocha wa Mchezo wa Ngumi John Eyebel kutopka Chikago Marekani (kulia) akimtunuku cheti muhitimu wa mafunzo ya ukocha wa klabu ya Ashanti Rajabu Mhamila ,Super D baada ya kumaliza kozi hiyo

TANGAZO TANGAZO TANGAZO


UONGOZI WA MPOAFRIKA ENTERTAINMENT INAPENDA KUWAKARIBISHA WADAU WOTE WA POOL NA DUBAI{VINYWAJI BARIDI} KUWA TUMEFUNGUA PUB NDOGO NA YA KISASA MAENEO YA TANDIKA DAVIS CORNER KARIBUNI SANA KARIBU TUUNGANE KWA PAMOJA KATIKA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA X-MASS NA MWAKA MPYA ULINZI WA KUTOSHA UPO PARKING ZA KUMWAGA



WASILIANA NA



0717 055 100

DIRECTOR

Thursday, December 23, 2010

TTCL YATOA ZAWADI YA XMAS NA MWAKA MPYA KWA WATOTO YATIMA






Ofisa Utawala wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Bw.Ulrick Swai (kushoto) akimkabidhi mbuzi kwa mlezi wa kituo cha watoto yatima cha Group Trast Fund cha Mbagala Bw. Haruna Ali Dar es salaam mwishobi mwa wiki kwa ajili ya sikukuu za mwishoni mwa mwaka jumla ya vituo vinne vya watoto yatima vilifaidika na msaada huo wenye thamani ya milioni.5

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya simu Tanzania TTCL BW. Said Amir akimkabidhi mtoto wa kituo cha watoto yatima cha Mbagala Trast Group Faudhia Mohamed jumla wa msada wa vyakula pamoja na mbuzi vilitolewa na kampuni hiyo kwenye vituo vya watato yatima vyenye thamani ya milioni 5.




Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya simu Tanzania TTCL BW. Said Amir akiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima na walezi baada ya kuwakabidhi msaada kwa ajili ya sikukuu za xmax na mwaka mpya
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...