Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, December 7, 2010

MSONDO NGOMA WAENDELEA KUCHENGUA MASHABIKI MAX BAR ILALA

Waimbaji wa msondo wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Hamisi Maliki, Isihaka Katima DJ Papa Upanga na Shukulu Majaliwa
Nacho Mpendu Mama Nzawisa na Amri Saidi Dongoo
KIlema Msafi akiwa sambamba na wanenguaji wa Msondo ngoma
Juma Katundu kushoto na Shukulu Majaliwa
Wapenzi wa Msondo wakicheza uku wakiwa kwenye viti kushoto ni Rukia SAko na Salama

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...