Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, December 15, 2010

PROFESA TIBAIJUKA ATEMBELEA MAENEO YA WAZI


Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka wa pili kushoto akionesha ukuta uliopo maeneo ya Ocean Road ambao unatakiwa kuvunjwa kwa ajili ya kuwepo kwa bustani eneo hilo lililopo pembezoni mwa fukwe kushoto ni Naibu WAziri Bw.Goodluck Olenedey na Mkuu wa Wilaya ya TEmeke Bi. Chiku Galawa wakati wakati alipofanya ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali ya wazi jijini Dar es salaam jana

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...