Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, December 9, 2010

OFF SIDE KUZINDULIWA DRC KONGO, BURUNDI


FILAM ITWAYO OFFSIDE iliyowashilikisha wasanii nyota hapa nchini, wakiwemo Steven Kanumba 'Kanumba' na Vicent Kigosi 'Ray' itazinduliwa katika nchi ya Jamuhuri ya KIdemokrasia ya Kongo (DRC) mwishoni mwa mwezi huu.

Kwa mujibu wa Kanumba, uzinduzi huo utafanyika nchuni humo kati ya Desemba 15 au 20 ambapo washiriki wa filamu hiyo akiwemo yeye, watakuwepo katika uzunduzi huo utakaofanyika 'DRC'

Kanumba alisema baadhi ya wale watakaokwenda kwenye udhinduzi huo ambao utakuwa wa kwanza kwa filamu za Tanzania ni Ray, Irene Uwoya, Aunt Ezekiel na Jennifer, Mmoja wa watoto wanaokuja juu katika tasinia ya filam nchini akiwa pia ameshiliki filam za 'This is Ut' na Uncle JJ'.

''Ingawa bado hatujapanga siku rasmi ya udhinduzi huo, lakini hivi karibuni na wasanii karibu wote tulioshiriki tutakuwa huko kuwapa raha ya kweli mashabiki watakao hudhurua kabla ya kuamia burundi na kisha kuja kuitambulisha nchini'' alisema Kanumba wameamua kufanya hivyo udhindudhi huo china ya wadhamini wa filam hiyo Step Intatainment kuotokana na kubaini kuwa wana mashabiki wengi sana huko katika nchi hizo za maziwa makuu.

Filam ya 'Off Side' ni ya kwanza kuwakutanisha wakali hao tangu walipofanya hivyo ndani ya filamu ya ;Opra' iliyotoka mwaka juzi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...