Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, December 24, 2010

KOCHA WA ASHANTI BOXING ATUNUKIWA CHETI

Kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila akionesha cheti chake alichotunukiwa leo
Rajabu Mhamila Super D akionesha Cheti Chake
Kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila Super D akiwa na cheti chake baada ya kutunukiwa leo


Mgeni rasmi wa kufunga Kozi ya Ukocha wa Mchezo wa Ngumi John Eyebel kutopka Chikago Marekani (kulia) akimtunuku cheti muhitimu wa mafunzo ya ukocha wa klabu ya Ashanti Rajabu Mhamila ,Super D baada ya kumaliza koz
Kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila Super D wa pili kushoto akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa timu hiyo baada ya kutunukiwa cheti kushoto ni Juma Mwalimu Miwani Emanuel Mgaya na Iddy Ramadhani


Mgeni rasmi wa kufunga Kozi ya Ukocha wa Mchezo wa Ngumi John Eyebel kutoka Chikago katikati juu akiwa katika picha ya pamoja na makocha wa mchezo huo baada ya kuwatunuku vyeti

Kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila Super D akionesha cheti alichotunukiwa na BFT
mafunzoBaadhi ya washiriki wa kozi ya ukocha wa mchezo wa ngumi wakifatilia mafunzo
Kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila Super D akipeana mkono wa kwa heri na
Mgeni rasmi wa kufunga Kozi ya Ukocha wa Mchezo wa Ngumi John Eyebel kutoka Chikago

Kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila Super D kushoto akipeana mkono na Makamu wa Rais wa Shirikisho la Ngumi Tanzania Michael Changarawe baada ya kutunukiwa cheti cha ukocha

Mgeni rasmi wa kufunga Kozi ya Ukocha wa Mchezo wa Ngumi John Eyebel kutoka Chikago Marekani akipeana mkono na kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila Super D baada ya kumkabidhi cheti ya kuitimu mafunzo ya ukocha


Mgeni rasmi wa kufunga Kozi ya Ukocha wa Mchezo wa Ngumi John Eyebel kutopka Chikago Marekani (kulia) akimtunuku cheti muhitimu wa mafunzo ya ukocha wa klabu ya Ashanti Rajabu Mhamila ,Super D baada ya kumaliza kozi hiyo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...