Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, December 5, 2010

washindi promosheni ya Weka Akiba Ushinde ya benk ya posta wakabiziwa zawadi


Mhasibu wa benki ya Posta Tanzania (TPB), tawi la Metropolitan, Tea Herman (kushoto),akimkabidhi zawadi ya friji, Ester Kachecheba, baada ya kushinda zawadi hiyo katika promosheni ya Weka Akiba Ushinde, Dar es Salaam jana. Wa pili kushoto ni Ofisa Mikopo watawi hilo, Farida Masoud

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...