Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, December 15, 2010

MSONDO NGOMA YAENDELEA KUPAGAWISHA MASHABIKI


Kocha wa mchezo wa mpira wa miguu Jamuhuri Kiwelu katikati akiwa na shabiki wa msondo ngoma music bandi Mustafa Nagari wakimtunza mpiga gita la sollo wa bendi hiyo Abdul Ridhiwani 'Pangamawe' wakati wa onesho lao lililofanyika mwishoni mwa wiki
Waimbaji wa bendi ya msondo music bandi wakiimba wakati wa onesho lao lililofanyika Dar es salaam juzi kushoto ni Eddo Sanga na Juma Katundu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...