Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, December 23, 2010

TTCL YATOA ZAWADI YA XMAS NA MWAKA MPYA KWA WATOTO YATIMA


Ofisa Utawala wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Bw.Ulrick Swai (kushoto) akimkabidhi mbuzi kwa mlezi wa kituo cha watoto yatima cha Group Trast Fund cha Mbagala Bw. Haruna Ali Dar es salaam mwishobi mwa wiki kwa ajili ya sikukuu za mwishoni mwa mwaka jumla ya vituo vinne vya watoto yatima vilifaidika na msaada huo wenye thamani ya milioni.5

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya simu Tanzania TTCL BW. Said Amir akimkabidhi mtoto wa kituo cha watoto yatima cha Mbagala Trast Group Faudhia Mohamed jumla wa msada wa vyakula pamoja na mbuzi vilitolewa na kampuni hiyo kwenye vituo vya watato yatima vyenye thamani ya milioni 5.
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya simu Tanzania TTCL BW. Said Amir akiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima na walezi baada ya kuwakabidhi msaada kwa ajili ya sikukuu za xmax na mwaka mpya

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...