Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, December 13, 2010

KATIBU MKUU WA CCM ATEMBELEA KIWANDA CHA NONDO
Mkurugenzi wa Kampuni ya ALTAF AND COMPANY Bw, Zulfqal Ali (kushoto) akimvisha mgeni wake saa ya mkononi kama zawadi kwa Katibu Mkuu wa CCM Bw. Yusufu Makamba alipotembelea Tabata Dar es salaam jana kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya kiwanda hicho kilichotoa msada mkubwa wakati wa kampeni za CCM

Mkurugenzi wa Kampuni ya ALTAF AND COMPANY Bw, Zulfqal Ali (kushoto) akimlaki mgeni wake
Katibu Mkuu wa CCM Bw. Yusufu Makamba alipotembelea Tabata Dar es salaam jana kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya kiwanda hicho kilichotoa msada mkubwa wakati wa kampeni za CCM

Mkurugenzi wa Kampuni ya ALTAF AND COMPANY Bw, Zulfqal Ali (kushoto) akimvisha shada la mauwa
Katibu Mkuu wa CCM Bw. Yusufu Makamba alipotembelea Tabata Dar es salaam jana kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya kiwanda hicho kilichotoa msada mkubwa wakati wa kampeni za CCM

Katibu Mkuu wa CCM Bw. Yusufu Makamba kulia akioneshwa moja ya mashine za kutengeneza nondo na mkurugenzi wa Kampuni ya ALTAF AND COMPANY Bw, Zulfqal Ali alipotembelea kiwandani hapo Tabata Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...