Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, December 5, 2010

CHIPUKIZI WA MPIRA WA KIKAPU WAREJEA TOKA MAREKANI


Wachezaji chipukizi wa mpira wa kikapu Evance Davis, Sunday Edward na Alpheus
Kisusi wakiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kutoka Marekani
walikoshiriki mafunzo ya wiki mbili ya mchezo huo kwa udhamini wa Coca-Cola
kupitia SpriteMeneja masoko wa Coca-Cola Tanzania Christine Maina akikabidhi zawadi wa
Wachezaji chipukizi wa mpira wa kikapu Alpheus Kisusi, Sunday Edward na Evance
Davis kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere mara baada wachezaji
hao kuwasili kutoka Marekani walikoshiriki mafunzo ya wiki mbili ya mchezo huo
kwa udhamini wa Coca-Cola kupitia Sprite

Wachezaji chipukizi wa mpira wa kikapu Alpheus Kisusi (kushoto), Sunday Edward
(katikati) na Evance Davis wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
baada ya kuwasili toka Marekani walikoshiriki mafunzo ya wiki mbili ya mchezo
huo kwa udhamini wa Coca-Cola kupitia Sprite.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...