Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 6, 2014

BONDIA KHALID CHOKOLAA AJIANDAA NA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI AGOSTI 8Bondia Khalid Chokoraa kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Rashidi Juma wakati wa mazoezi yakw kwa ajili ya kujiandaa kupambana na  Said Memba katika mpambano wao utakaofanyika agosti nane wakati wa siku ya tamasha la matumaini Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Khalid Chokoraa akipiga beg wakati wa maandalizi ya kujiandaa na mchezo wake utakaofanyika agosti 8 picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


Bondia Khalid Chokoraa kulia akimrushia konde Rashidi Juma wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake wa agosti 8 utakaofanyika katika uwanja mpya wa taifa jijini Dar es salaam
Bondia Khalid Chokoraa  kushoto akielekezwa jinsi ya kupiga upeercut na Ramadhani Jifasto wakati wa mazoezi yake yanayoenderea katika kami ya mwananyamala Dar es sa saal kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake na
Said Memba utakaofanyika Agosti 8 katika uwanja mpya wa taifa Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Khalid Chokoraa
Bondia Khalid Chokoraa kulia akielekezwa na Ramadhani Jifasto jinsi ya kupiga ngumi nzito
Bondia Khalid Chokoraa
 na Rashidi Juma wakipambana mazoezini

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...