Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 9, 2014

TAMASHA LA MATUMAINI LAZINDULIWA NA DKT. BILAL, WABUNGE WA YANGA WAWAADHIBU WENZAO WA SIMBA


 Mshambuliaji wa timu ya Wabunge wa Yanga, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete (kushoto) akijiandaa kumfinya beki Wabunge wa Simba, Franky Tupa, wakati wa mtanange wao uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa taifa, ikiwa ni sehemu ya shambra shambra za Tamasha la matumaini, linaloendelea hivi sasa. Katika mchezo huo. Wabunge wa Yanga walishinda mabao 3-2. Picha Zote na www.sufianimato.com
Mwanamuziki wa bendi ya Mapacha 3, Khalid Chokoraa (wa tatu kushoto) akiwa na wapambe wake wakati akisubiri kupanda ulingoni kuzichapa na Said Memba, pambano linalotarajia kuanza muda wowote kuanzia hivi sasa. 
 Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Tamasha hilo.
 Waheshimiwa wakisimama kuimba wimbo wa Taifa......

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...