Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 25, 2014

INDIA BUSINESS FORUM 'IBF' KUJITANUA ZAIDI

Balozi wa India nchini Debnath Shaw akizungumza na wafanyabiashara mbalimbali kutoka India
Balozi wa India nchini Debnath Shaw kushoto akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara waliojitokeza wakati wa sherehe ya wafanyabiashara wa India wanaoishi nchini wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya toyota ,Vinod Rustagi,Mkurugenzi wa Kamal Steels, Satyama Gupta na Mwenyekiti wa Kamal steel, Gagan Gupta picha na mpigapicha wetu


baadhi ya viongozi wa umoja wa wafanya biashara wa India wanaoishi nchini wakitambulishwa mbele ya balozi
Baadhi ya wafanyabiashara wa India wakichukua chakula wakata wa sherehe ya wafanyabiashara wa India
WAFANYABIASHARA WA INDIA WANAOISHI NCHINI WAKIJADILI MAMBO MBALIMBALI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...