Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 20, 2014

SIMTANK YAKABIDHI ZAWADI KWA WATEJA WAKE


 Mr. Shrima of Innocent hardware receiving 4th category award Bajaj Boxer motorcycle from Mr. Alpesh Patel CSMO(Chief Sales & Marketing)
Mr. Dilip on be half of Aim Steel Arusha receiving 4th category award Bajaj Boxer motorcycle from Mr. Alpesh Patel CSMO
Mrs. Elizabeth of Lazy Shop receiving for 6Th category award Samsung S4 Mini from Genesis Mushi Sales executive of Silafrica.
 Bi Fatma Wahenga akitoa shukrani za dhati kwa uongozi mzima wa kampuni ya SIMTANK baada ya kupokea zawadi ya gari aina ya Suzuki carry kama motisha baada ya kuibuka mnunuzi mkubwa wa SIMTANK eneo la buguruni DSM, kushoto ni Afisa masoko na mauzo wa SMTANK Alpesh Patel Kulia ni msherehashaji wa hafla hiyo iliyo fanyika serena hotel DSM havi karibuni.
Mkurugenzi mtendaji wa Silafrica SIMTANK Bw. Shah akimkabidhi mfano wa funguo wa gari aina ya Suzuki Carry kwa bi. Fatma Wahenga baada ya kuibuka mnunuzi mkubwa wa SIMTANK eneo la buguruni DSM ambapo washindi wengine walijishindia gari aina ya noah, pikipiki na sim za mkononi.
Wasanii kutoka Kundi la THT wakitoa burudani katika sherehe hiyo

ZAWADI ZA PIKIPIKI NA MAGARI ZITAKABIDHIWA SIKU CHACHE ZIJAZO BAADA YA KUKAMILIKA KWA USAJILI.

Simtank inatambua mchango mkubwa kutoka kwa wateja nwake hivyo imejiwekea utaratibu wa kurudisha sehemu ya faida zake kwa wale walioweza kununua kwa kiasi kikubwa SIMTANK kwa mwaka.

Kampuni ya SilAfrica ambao ndio watengenezaji na wauzaji wa matanki ya Kuifadhia majii aina Ya SIMTANK wafanya sherehe kwaajili ya kuwakabidhi zawadi wateja wao wanaonunua matank yao kwa idadi kubwa. Kampuni hiyo imekua ikifanya hivyo kila mwaka ikiwa kama njia ya Kuwapongeza na kuboresha uhusiano wao baina ya kampuni na Wateja wao vilivile sherehe za kuwapongeza na kuwapa zawadi hufanyika kila mwaka kwaajili pia ya Kutambua mchango wao kwa kampuni hiyo ya SilAfrica ambao ni watengenezaji wa Matanki ya kuhifadhia Maji ya SIMTANK

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...