Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, August 21, 2014

RADIO EFM YAZIDI KUIBOMOA RADIO ONE,BAADA YA KITENGE YAMNYAKUWA KATANGAEmbedded image permalink
Aliyekuwa Mtangazaji wa Radio One Omari Katanga leo amejiunga rasmi na 93.7 EFM akifuata nyayo za pacha wake Kitenge . Saa moja iliyopita EFM katika page yake ya twitter waliandika kuwa wamemsainisha mtangazaji wa zamani wa Radio One kujiunga na Radio yao. baada ya siku mbili zilizopita mtangazaji mahiri wa habari za michezo nchini Maulid Kitenge kujiunga na EFM.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...