Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 11, 2014

NGUMI ZILIVYOPIGWA MWANANYAMALA CCM MWIJUMABondia Fadhil Boika kushoto akipambana na Juma Biglee wakati wa mpambano wao Biglee alishinda kwa point mchezo uho picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Fadhil Boika kushoto akipambana na Juma Biglee wakati wa mpambano wao Biglee alishinda kwa point mchezo uho picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia Fadhili Boika kushoto na Jyma Biglee wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mpambano wao
Bondia Abdallah Pazi kushoto akimshambulia kwa makonde Maneno Osward wakati wa mpambano wao uliofanyika mwananyamala  Pazi alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Maneno Osward kushoto akipambana na Abdallah Pazi wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa CCM Mwijuma mwananyamala Pazi alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...