Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 16, 2014

KANISA LA YESU CHRISTO LA WATAKATIFU WA SIKU ZA MWISHO WAFANYA UKARABATI JENGO LA YATIMA GROUP TRUST FUND MBAGALA CHAMANZI

Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakipaka rangi bweni la kituo cha watoto yatima cha yatima group trust fund kilichopo mbagala chamanzi ambapo waumini hawo walitumia siku hiyo kufanya usafi wa mazingira mbalimbali ikiwemo kukata kuni pamoja na kucheza na watoto wanaoishi katika kituo hicho kama njia moja ya kuwafariji

Muhumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho Charles Nyamuhanga akikati kuni kwa mashine kwa ajili ya
watoto yatima wa group trust fund kilichopo mbagala chamanzi ambapo waumini hawo walitumia siku hiyo kufanya usafi wa mazingira mbalimbali ikiwemo kukata kuni pamoja na kucheza na watoto wanaoishi katika kituo hicho kama njia moja ya kuwafariji
kuni zikikatwa

Baadhi ya waumini wakinamama wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakimenya viazi kwa ajili ya kupika na watoto wa kituo cha Yatima group trust fund cha mbagala chamanzi Dar es salaam
waumini wakinamama wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakijadiliana mambo mbalimbali
Baadhi ya watoto yatima wanaoishi katika kituo hicho wakiimba na kucheza

Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakiwa wamebeba kani kwa ajili ya shughuli za kituo cha watoto yatima cha
Yatima group trust fund cha mbagala chamanzi Dar es salaam

Watoto wa wahumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakicheza mpira wakati walipotembelea kituo cha watoto
Yatima group trust fund cha mbagala chamanzi Dar es salaam
Watoto wakicheza
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakiwa katika picha ya pamoja walipo tembelea kituo cha
Yatima group trust fund cha mbagala chamanzi Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...