Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, October 8, 2014

KAMPUNI YA MEGATRADE WATENGENEZAJI WA KVANT WANOGESHA TAMASHA LA WAKAZI WA TABATA SHULE


 Msimamizi Mkuu wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Albet Kingu kushoto akimkabidhi zawadi ya chupa ya Kvant 750ml Ally Yanga wakati wa tamasha lililowakutanisha wakazi wa tabata shule mwishoni mwa wiki tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kutoa burudani mbalambali kwa wakazi hawo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...