Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, October 19, 2014

MSONDO NGOMA YAENDELEA NA MAKAMUZI YA MIAKA 50 YA BENDI YAO


Wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakutumbuiza katika uwanja wa sigara chan'gombe kutoka kushoto ni Said Mabela, Othumani Kambi na Mustafa Pishuu picha na www.burudan.blogspot.com
Wachalaza magita wa bendi ya msondo ngoma wakiwajibika wakati wa onesho lao kudhoto ni Said Mabela na Mustafa Pishuu picha na www.burudan.blogspot.com
Waimbaji wa bendi ya msondo wakitumbuiza wakati wa muendeleo wa wiki ya kutimiza miaka 50 ya bendi hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Sigara Chan'gombe Dar es salaam kutoka kushoto ni  Othumani Kambi, Shabani Dede na Juma Katundu Picha na
www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...