Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, October 2, 2014

RAIS KIKWETE AFUNGUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA UTALII JIJINI DAR LEO


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishirikiana na viongozi mbali mbali kukata utepe ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.
Sehemu ya Wageni kutoka nchi mbali mbali wakifatilia kwa makini hotuba ya Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine wakiwa kwenye picha ya pamoja baadhi Wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania,ambao ndio waratibu wakuu wa Maonyesho hayo ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...