Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, October 15, 2014

NGUMI ZILIVYOPIGWA TANDIKA

Bondia Azizi Rashid kushoto akipambana na Azizi Abdallah wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe Abdallah alishinda kwa point mpambano uho picha na SUPER D BLOG
Bondia Hassan Rajabu kushoto akipambana na Said Wigo wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe mpambano huo ulisha kwa droo picha na SUPER D BLOG
Bondia Amani Bariki kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ally Mustafa wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe Bariki alishinda kwa point mpambano huo uliokuwa wa raundi nane Picha na  SUPER D BLOG

Bondia Shomari Mirundi
Bondia Ibrahimu Class ' King Class Mawe' akimpaka mafuta  bondia Shomari Mirundi kwa ajili ya mpambano wake na Suma Ninja uliokuwa ufanyike siku ya Nyerere Day ambapo bondia Ninja amekimbia kipigo hicho kwa kuingia mitini
Bondia Ibrahimu Class ' King Class Mawe' akimfunga glove bondia Shomari Mirundi kwa ajili ya mpambano wake na Suma Ninja uliokuwa ufanyike siku ya Nyerere Day ambapo bondia Ninja amekimbia kipigo hicho kwa kuingia mitini

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...