Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, October 2, 2014

KOCHA SAID CHAKU AMNOA AZIZI RASHIDI KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE NA AZIZI ABDALLAH SIKU YA NYERERE DAYKocha wa mchezo wa masumbwi nchini Said Chaku kulia akimwelekeza jinsi ya kupiga makonde bondia Azizi Rashidi anayejitaalisha kwa ajili ya mpambano wake na Azizi Abdallah mpambano utakaofanyika siku ya sikukuu ya Nyerere Day katika ukumbi wa musoma bar tandika Picha na SUPER D BLOG
Kocha  wa mchezo wa ngumi Said  chaku kulia akiwaelekeza mabondia wa Gongolamboto jinsi ya kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo jana wakati wa mazoezi ya klab hiyo jana Picha na SUPER D BLOG

Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Said Chaku kulia akimwelekeza jinsi ya kupiga makonde mazito bondia Azizi Rashidi anayejitaalisha kwa ajili ya mpambano wake na Azizi Abdallah mpambano utakaofanyika siku ya sikukuu ya Nyerere Day katika ukumbi wa musoma bar tandika Picha na SUPER D BLOG


Kocha  wa mchezo wa ngumi Said  chaku kulia akiwaelekeza bondia Mussa Mgosi  wa klab ya  Gongolamboto jinsi ya kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo jana wakati wa mazoezi ya klab hiyo jana Picha na SUPER D BLOG

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...