Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, October 13, 2014

TAIFA STARS YATAKATA YAICHABANGA BENIN MABAO 4-1 UWANJA WA TAIFA DAR


Kikosi cha Timu ya Taifa Taifa Stars.
Kiungo Mshambuliaji wa Taifa Stars, Mrisho Ngassa, akiwatoka mabeki wa Benin, wakati wa mchezo wa Kimataifa wa kirafiki uliochezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Stars iliibuka kidedea kwa kuichabanga Benin mabao  4-1. Bao la kwanza lilifungwa na Nadir Haroub 'Canavaro', la pili, Amri Kiemba, la tatu Thomas Ulimwengu na la nne, Juma Luizio.
Mshambuliaji wa Stars, Juma Luizio, akitupia bao la nne.
Beki wa Stars, Shomari Kapombe akijiandaa kumimina Krosi...
Mashabiki wa Stars ilikuwa ni full shangwe....

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...