Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, October 13, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE NA MAKAMU WAKE, DKT. BILAL WAWAONGOZA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU WILLIAM SHIJA VIWANJA VYA KARIMJEE


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2014.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akiwafariji wanafamilia wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akiwafariji wanafamilia wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
 Baadhi ya viongozi wakipita kutoa heshima zao za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mrisho Jakaya Kikwete, akisaini katika Kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohameed Gharib Bilal, akisaini katika Kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wa zoezi la kuagwa mwili lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
 Askari wa Bunge la Jamhuri, wakibeba Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, wakati wakiwasili kwenye viwanja vya Karimjee kwa ajili ya zoezi la kuagwa mwili, leo.
 Rais Kikwete na Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakijumuika na waombolezaji wakati wa zoezi la kuagwa mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, katika  Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
 Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati wakiwa katika Viwanja vya Karimjee wakijumuika na waombolezaji wengine katika zoezi la kuagwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dkt. William Shija, leo.
 Makamu wa Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya viongozi waliohudhuria zoezi hilo la kuagwa mwili wa marehemu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...