Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, October 17, 2014

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA NEC MJINI DODOMA LEO Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula wakifurahi na kuimba wimbo wa chama wakati wa ufunguzi wa kikao cha NEC mjini Dodoma leo.
 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM (NEC)  kilichofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo.
 Mjumbe wa NEC, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wajumbe wenzake baada ya kuwasili ukumbini humo, mijini Dodoma leo.
 Wajumbe wa Mmkkutano huo....
 Wajumbe wa Mkutano huo wakisalimiana ukumbini humo...
 Mwenyekiti na Katibu wake wakielekezana jambo kabla ya kufungua kikao hicho.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman akieleza taarifa za kikao.....
 Wajumbe wa Kikao hicho wakifurahia jambo.....

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...