Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, December 8, 2014

DIAOMOND ANOGESHA SHEREHE ZA UHURU DMV, MAREKANI


Rais wa Wasafi Diamond Platnumz akiwa pamoja na wacheza showa wake Roma Tonsa na Moses Iyobo wakitoa burudani katika kunogesha sherehe ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika Sheraton Hotel ya Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na mashabiki wake kutoka kila pembe ya Marekani huku mashabiki wengine wakitokea Tanzania.
Mzuka unazidi kupanda Diamond Platnumz asaula koti lake.
Balozi akimshukuru Diamond kwa kuwezesha kunogesha usiku wa Uhuru wa Tanzania na pia aliwashukuru wadhamini wa sherehe hiyo ya moaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Diamond akizidi kuwapa burudani mashabiki wake. , Picha na Vijimambo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...