Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, December 2, 2014

NGUMI ZILIVYOPIGWA KIBAHA MKOA WA PWANI


Bondia Rajabu Omari kushoto akioneshana umwamba na Herman Shekivuli wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani Shekifuli alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza picha na SUPER D BLOG
Bondia Mustafa Dotto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ramadhani Max wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani mwishoni mwa wiki iliyopita Dotto alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu ya mpambano huo picha na SUPER D BLOG
Bondia Shedrack Ignas kushoto akipambana na Fred Masinde wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha mkoa wa Pwani Ignas alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu Picha na picha na SUPER D BLOG
Bondia Zumba Kukwe kushoto  akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Sweet Kalulu wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha mkoa wa Pwani mpambano huo ulimalizika kwa sare picha na SUPER D BLOG

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...