Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 27, 2014

RAZA AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA WILAYA ZA WETE NA CHAKE CHAKE


 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa Hamad Mberwa akimkabidhi mipira Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Wete Nd. Kombo Hamad Khamis ikiwa ni miongoni mwa vifaa vya michezo vilivyotolewa na Mwanamichezo Maarufu Moh’d Raza Hassanali jana katika Maskani ya CCM ya Dr. Kikwete Chekea Mtambwe Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Mwanamichezo maarufu ambae pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Moh’d Raza Hassanali, akimkabidhi  vifaa vya Michezo Katibu wa CCM Wilaya ya Chake chake Bi. Mafunda Khamis,  kwa niaba ya timu ya Soka ya CCM Wilaya hiyo. Hafla hiyo ilifanyika Mjini Chake chake Kisiwani Pemba, jana. Picha na Hassan Issa wa - ZNZ.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...