Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, December 8, 2014

MAZIKO YA MUASISI WA CCM


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk.Ali Mohamed Shein(wa tatu kulia) pamoja na Viongozi na Waislamu wakibeba Jeneza lenye mwili wa Muasisi wa CCM  Marehemu Mzee Juma Ameir Juma  baada ya kumswalia katika Msikiti wa Abdalla Rashid Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi  na kwenda kuzikwa leo kijiji kwao Muungoni Wilaya ya Kusini Unguja.
 Waombolezaji wakilibeba jeneza lenye mwili wa marehemu muasisi wa CCM marehemu Mzee Juma Ameir Juma aliyefariki leo na kuzikwa  kijijini kwao Muungoni  Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein  aliongoza maziko hayo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...