Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, December 8, 2014

RAIS KIKWETE AFANYA KISOMO KUMSHUKURU MUNGU BAADA YA KUPONA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya Mashekhe na wageni waliohudhuria hafla ya kisomo maalum cha Kumshukuru Mwenyezi Mungu baada ya kufanyiwa upasuaji na kurejea nyumbani salama kilichofanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam leo.

 Mjukuu wa Rais,  Ayman Ridhiwani Kikwete akicheza kwa furaha wakati Babu yake Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru wageni na Mashekhe waliohudhuria hafla ya kisomo maalum kilichofanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mjukuu wake Ayman Ridhiwani Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kumalizika kisomo cha shukran kwa Mwenyezi Mungu kiklichofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo. Picha na Fredy Maro

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...