Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, December 5, 2014

DK SHEIN AHUTUBIA WILAYA YA MKOANI


 Balozi kutoka Jimbo la Makoong’we Bi Salama Bakari  ni  miongoni mwa Mabalozi waliotoa michango mbali mbali katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani  wa Wilaya ya Mkoani uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro na kuhutubiwa na  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,
 Balozi kutoka Jimbo la Makoong’we Bi ASma Abdalla Abdii   ni  miongoni mwa Mabalozi waliotoa michango mbali mbali katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani  wa Wilaya ya Mkoani uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro na kuhutubiwa na  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akitoa hutuba yake leo kwa kuzungumza na  Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM),[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...