Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 20, 2014

LUCY BANDAWE AUNGULIWA NA NYUMBA AKIWA KATIKA KUPIGA KULA ZA SELEKARI ZA MTAA DESEMBA 14 MWANANYAMALA

Lucy Bandawe akionesha jinsi watu wasiojulikana waliokuwa na nia ya kuteketeza kabisa nyumba yake kwa moto katika chumba chake ambacho alikuwa akilala moto huo ambao unasadikiwa kuwa ulikuwa wa mafuta ya taa ambayo ulichoma chumba kimoja na baadhi ya vitu
Lucy bandawe kushoto akimwelekeza jinsi moto ulivyo ungeza nyumba yake Mjumbe wa halimashauli kuu ya CCM Abduluhakim Amani wakati wa uchaguzi wa selikari za mtaa
Lucy bandawe kushoto akimwelekeza jinsi moto ulivyo ungeza nyumba yake Mjumbe wa halimashauli kuu ya CCM Abduluhakim Amani wakati wa uchaguzi wa selikari za mtaa ya desemba 14 mwananyamala
LUCY BANDAWE
Lucy Bandawe akionesha baadhi ya vitu vilivyochomwa na moto
Mjumbe wa halimashauli kuu ya CCM Abduluhakim Amani kushoto akimsikiliza Lucy Bandawe  aliyeunguliwa na nyumba yake maeneo ya mwananyamala wakati wa siku ya uchaguzi wa Selekari za mitaa ambapo inasemekana mafuta ya taa ndio yaliyotumika kunguzia nyumba hiyo na kuchoma vitu mbalimbambali ikiwemo kitanda,godoro,blanketi ,mashuka na mito pamoja na vitu vingine vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni mbili na nusu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...