Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, July 11, 2012

CASTLE LAGER SUPER FAN


 Mshindi wa hatua ya awali ya Castle Lager Super fan, Sonda Mdendemi mkazi wa Mbeya ARRM akishangilia ushindi huo mara baada ya kufanikiwa kuingia kwenye kinyanganyiro hicho.Mshindi atapata zawadi na nafasi ya kuwakilisha Taifa kwenye kuunda timu ya Afrika United Super fan itakayokuwa ikishangilia kwenye mashindano ya Afrika nchini Afrika ya Kusini
 BENSON KALOLO
Mshindi wa hatua ya awali ya Castle Lager Super fan, Ferdinand Nyambaya Mkazi wa Makondeko mkoani Mbeya akishangilia ushindi huo mara baada ya kufanikiwa kuingia kwenye kinyanganyiro hicho.Mshindi atapata zawadi na nafasi ya kuwakilisha Taifa kwenye kuunda timu ya Afrika United Super fan itakayokuwa ikishangilia kwenye mashindano ya Afrika nchini Afrika ya Kusini

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...