Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, July 11, 2012

SEMINA YA MPANGO KAZI WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI


Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Magreti Nzziwa Nantongo (kulia), akibadlishana mawazo na Mbunge wa Afrka Mashariki kutoka Tanzania, Shy Rose Bhanji. 
Wabunge wa Afrika Mashariki Shy Rose Bhanji na mwenzake kutoka burundi wakibadilishana mawazo na na spika wa bunge la Afrika ya Mashariki, Magreth Nzziwa (katikati), kutoka Uganda ambaye ni spika wa kwanza mwanamke toka kuanzishwa tena EAC hapa wakiwa kwenye kikao cha kupanga kazi za mwaka za bunge hilo katika Hotel ya East Afrikan jijini Arusha

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...