Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 14, 2012

Benki ya Watu wa Zanzibar yafutarisha, Daktari Shein ashiriki.




Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ, hafla hiyo ilifanyika jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar
Baadhi ya kinamama waliohudhuria futari hiyo wakichukua futari.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj
Dk.Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Salama Bwawani Hotel, kuhudhuria katika Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ jana jioni na kupokelewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki Mzee Abrahmani Mwinyijumbe (wapili kulia) na Meneja wa Benki hiyo Juma Amour (kushoto).
Dk. Shein akichukua Futari.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...