Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, August 10, 2012

CRDB YATOA VYETI KWA WAJASIRIAMALI


Mkurugenzi wa banki ya CRDB mkoani, Arusha Chiku Issa akitoa vyeti kwa mmoja wa washiriki wa semina ya uwezeshaji wajasiriamali wa awali na wa Kati wa banki hiyo katika siku ya mwisho ya kufunga semina hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya Golden Rose jijini Arusha.

Pichani ni baadhi ya wajasiramali waliomaliza kwenye vyuo vikuu hapa nchini na kujiunga na ujasiriamali wakiwa na Mkurugenzi wa benki ya CRDB mkoani Arusha Chiku Issa mwenye ushungi akiwa na Mwanasheria wa banki, hiyo Aphar ambaye alikuwa muwezeshaji kwenye semina ya uwezeshaji wa wajasiriamali waawali na wakati iliyoendeshwa na banki jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...