Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, August 10, 2012

CHADEMA YAENDELEA NA MIKUTANO YAKE MOROGORO


 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa akiongozana na viongozi mbali mbali wa chama hicho, walipokuwa wakivuka katika kivuko cha mto Kilombero wakitokea jimbo la Kilombero kuelekea jimbo la Ulanga Magharibi, katika mikutano ya Operesheni Sangara inayoendelea katika mkoa wa Morogoro. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa mkoa wa Tabora, Kansa Mbaruok. (Picha na Joseph Senga).

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mgeta katika jimbo la Kilombero mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya mikutano ya operesheni Sangara.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...