Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 7, 2012

KAMPUNI YA STEPS YASHIRIKIANA NA WASANII KUWAKAMATA WEZI WA KAZI ZAO

MSANII MOHAMED NICE 'MTUNISI' AKIZUNGUMZA JINSI WALIVYOKAMATA MZIGO FEKI WA KAZI ZA WASANII MBALIMBALI KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA STEPS ENTATAINMET YA JIJINI DAR ES SALAAM INAYOSAMBAZA KAZI ZA WASANII NCHINI PICHA NA .www.burudan.blogsports.com
MTUUMIWA WA KURUDUFU KAZI ZA WASANII AKIWA CHINI YA ULINZI BAADA YA KUKAMATWA
MSANII MOHAMED 'NICE' AKILIA KWA UCHUNGU BAADA YA KUKUTA KAZI ZAO ZILIZOKUWA ZIKIUZWA KATIKA MOJA YA DUKA MTAA WA MAGILA NA LIKOMA LEO

Msanii wa filamu nchini Mohamed Nice 'Mtunisi' kushoto na Jacob Stevin 'JB' wakiwa katika duka ambalo lilikuwa linauza kazi zao ambazo ni feki ambapo walikamatwa kwa kushilikiana na Kampuni ya usambazaji ya Steps Entantainment ya jijini Dar es salaam picha na  www.burudan.blogspot.com
Moja ya gari lililokuwa limejaa kazi za wasanii mbalimbali nchini zinazouzwa kiholera baada ya kurudufu kinyume na sheria na kukosesha wasanii mapato mazuri.Picha na www.burudan.blogspot.com

Baazi ya watu wakiwa wamezagaa kushudia ukamatwaji wa kazi za wasanii mtaa wa Magili na Likoma Dar es salaam leowww.burudan.blogspot.com

Baazi ya wasanii pamoja na askari polis wakiwa wamerizingira duka lililokuwa linauza kazi za wasanii fekiwww.burudan.blogspot.com
Gari lenye namba za T 608 BWD lililokamatwa na kazi mbalimbali za wasanii zikiwemo zinazosambazwa na Kampuni ya Steps ya jijini Dar es salaam linalofanya kazi na wasanii hawowww.burudan.blogspot.com
BAADHI YA KAZI FEKI ZA WASANII ZILIZOKAMATWA LEOwww.burudan.blogspot.com
MSANII MOHAMED NICE 'MTUNISI'  KUSHOTO AKITOA MAELEZO MBALIMBALI KWA MAOFISA USALAMA WALIOFIKA KATIKA UKAMATAJI WA KAZI FEKI ZA WASANII.www.burudan.blogsports.com

BAADHI YA WANANCHI WAKISHUDIA TUKIO HILO
MSANII KAPTEN RADO AKIKAGUA KAZI ZAKE MPYA AMBAPO KAZI YAKE MPYA IJULIKANAYO KAMA 'HATIHANI' ILIYOINGIA MTAANI LEO ILIKUWA IMESHA CHAKACHULIWA NA KUINGIZWA SOKONI .www.burudan.blogsports.com
MSANII WWA MZIKI WA TAARABU,MZEE YUSUFU KUSHOTO AKIANGALIA MOJA YA KAZI YAKE ILIYOKUWA FEKI ZILIZOKAMATWA NA WASANII WENYEWE KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA STEPS ENTANTAINMENT YA JIJINI DAR ES SALAAM.www.burudan.blogsports.com
WASANII MZEE YUSUFU KUSHOTO NA MOHAMED NICE WAKIWA KATIKA DUKA LILILOKAMATWA KWA KUUZA KAZI FEKI ZA WASANII MSAKO HUO ULIWASHILIKISHA KAMPUNI YA STEPS ENTATAINMENT PAMOJA NA WASANII WENYEWE.www.burudan.blogsports.com
BAADHI YA MIZIGO YA DVD MPYA KABISA ZILIZO FEKI ZIKIWA ZIMEKAMATWA LEO.www.burudan.blogsports.com

1 comment:

  1. Read the latest Ghana Entertainment News and Gossips on airnewsonline. Check out Latest Celebrities News Gossip in Ghana - Be on top of Entertainment News with airnewsonline! Read online Daily Entertainment News & Gossip in Ghana and share your favorite ones.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...