Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 6, 2012

MKUU WA MKOA WA PWANI MWANTUMU MAHIZA APOKEA NA KUZINDUA MAGARI YA KISASA YA KUBEBEA WA GONJWA


Mkuu wa mkoa wa pwani Mwantumu Mahiza amezindua  magari mawili ya kubebea wa gonjwa katika hospitali ya Tumbi mkoani pwani magari hayo yame tolewa na serekali ya korea kupitia Rotary intenational club ya tanzania magari hayo yana thamani ya shilngi milioni miambili thelathini za kitanzania kulia ni Jinyong Kim kutoka shirika la kimaendeleo la korea (koika) aliye kushoto ni mwakilshi wa rotary club tanzania bwana  Bill bali  nyuma yao ni mganga mkuuwa hosipitali ya tumbi Dr Petar datani  na aliye nyosha mkono ni mkurugenzi mkuu wa shirika la elimu kibaha Dr Cyprian mpemba  hafla hiyo ya makabidhiano yamefanyikia katika hospitali ya tumbi kibaha pcha na chris mfinanga

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...