Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 4, 2012

RAIS KIKWETE KWENYE WARSHA KUHUSU MFUMO WA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MIPANGO YA MAENDELEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma

Waziri katika ofisi ya Waziri Mkuu wa Malaysia Mhe Idris Jala akitoa mada ya utangulizi katika  warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma

Washiriki wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma
Rais Kikwete, Makamu wa Rais Dk. Muhammed Gahrib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Spika wa Bunge Anna Makinda na viongozi wengine waliohudhuria warsha hiyo, wakiwa katika picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...