Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 7, 2012

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA KATIKA 88 DODOMA



Maafisa wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa katika Banda la Wizara hiyo katika Viwanja vya Nzuguni Mjini Dodoma tayari kutyoa huduma kwa wageni watakaotembelea banda hilo.
.Baadhi ya Wajasiriamali kutoka Mikoa mbali mbali nchini wakishiriki mafunzo yanayotolewa na taasisi mbali mbali zilizo chini ya Wizara ya Viwanmda na Biashara ili kuwawezesha kufanya kazi zao kwa tija. Mafunzo hayo hutolewa bure kila siku asubuhi kabla ya kuanza kwa maonesho.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Vicent Kone akipokelewa na maafisa wa Wizara ya Viwanda na Biashara alipotembelea banda la Wizara hiyo katika Viuwanja vya Nzuguni mjini Dodoma. 06. Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Vicent Kone akipata maelezo ya bidhaa mbali mbali za mjasiriamali anayewezeshwa na na Wizara ya Viwanda na Biashara katika maonesho ya 88 mjini Dodoma
Kaimu Kurugenzi wa Idara ya Mtangamano wa Biashara Bw Ismael Mfinanga na Mkaguzi wa ndani wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bi Asia Mohamedi, wakipata maelezo ya kazi mbali mbali zinazofanywa na wajasiriamali chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...