Kutoka
kushoto ni Afisa Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha
Plus Masoud Ally (Kipanya) , Sharon Mariwa Meneja wa Mahusiano OXFAM,
Francis Bonda(Kaka Bonda) Mkurugenzi wa Usanifu katika Kampuni ya DMB
pamoja na Mkamiti Mgawe Afisa utetezi wa haki za kiuchumi OXFAM, wakati
wa kutangaza rasmi majina ya waliochaguliwa katika Maisha Plus/ Mama
Shujaa wa Chakula leo.
Francis
Bonda(Kaka Bonda) Mkurugenzi wa Usanifu katika Kampuni ya DMB akitilia
mkazo baadhi ya mambo wakati wa kutangaza rasmi majina ya waliochaguliwa
kuingia Maisha Plus/ Mama Shujaa wa Chakula.
Afisa
Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally
(Kipanya) akijibu Maswali yaliyo ulizwa na waandishi wa Habari.
No comments:
Post a Comment