Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, February 7, 2014

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AZUNGUMZIA MAFANIKIO YA UONGOZI WAKE NDANI YA SIKU 100


Rais wa shirikisho la Mpira wa miguu nchini TFF, Jamal Malinzi (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam leo kuhusu mafanikio ya uongozi wake ndani ya siku 100 tangu alipoingia madarakani. Kulia ni Afisa habari wa TFF Boniface Wambura (kushoto) ni Mshauri wa ufundi, Rutayunga Peregenus.
 Baadhi ya Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mkutano huo uliofanyika leo  katika ukumbi wa hotel ya Kempisk Hyatt Regence, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...