MSANII
wa filamu nchini Athumani Lali 'Budege' baada ya kucheza filamu za watu
sasa ameamua kuja na filamu zake mwenyewe na kuwawezesha wasanii wenzie
kuwa na kipato kizuri baada ya kuamua kufungua kampuni yake binafsi
inayokwenda kwa jina la AJM Entatainment ambayo ina husika na maswala ya
filamu za kibongo
 |
Athumani Lali 'Budege' |
akizungumza na mwandishi wa habari
hizi Lali amesema kuwa kwa sasa yupo katika atua za mwisho kwa ajili ya
kutoa filamu mpya inayokwenda kwa jina la Faza Hausi ambayo
imeshilikisha wasanii wakongwe ndani yake akiwemo Mohamed Nurdini
'Chekbudi' ,Esha Buheti, Rashidi Mwishehe 'Kingwendu' Muogo Mchungu
Filamu hiyo itakayo tolewa na Kampuni
hiyo ya jijini Dar es salaam itakuwa moto wa kuotea mbali kwani si ya
kukosa kabisa kwa mashabiki wa filamu nchini
filamu hiyo ya Faza Hausi itakuwa
mtaani wakati wowote kuanzia sasa kwani takribani vitu vyote muhimu
vimeshafanyika hivyo wadau wakae mkao wa kula kwani filamu hii si
yakuikosa
Ambapo itapatikana Tanzania nzima nikianzia Dar es salaam na mikoa yote filamu hiyo itawafikia
No comments:
Post a Comment