Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akisaliamiana na warembo hao baada ya kuwasili kwenye banda lao.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Udhibiti wa Ubora wa kampuni
ya Vic Fish, Jacob Maisele, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya
maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji
Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo jijini Mwanza.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB, wakiwa katika
gari lao la 'Mobile Bank', katika maonyesho ya Kongamano la siku tatu la
Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB, wakati alipokuwa
akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano la siku tatu la
Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo.
Makamu
wa Rais, Dkt. Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya
Frontline, Irene Kiwia, wakati alipokutana nae katika maonyesho ya
Kongamano la siku tatu la Uwekezaji na Uhamasishaji Kanda ya Ziwa,
lililoanza leo, jijini Mwanza.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifurahia jambo alipotembelea katika Banda la Mjasiliamali Donatha
Swai, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano
la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa,
lililofunguliwa leo, jijini Mwanza. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwasnza,
Eng. Evarist Ndikilo.
Makamu
wa Rais, Dkt. Bilal akizungumza na Meneja wa Kanda wa Mtandao wa
Airtel, Violet Gyumi na Meneja wa Benki ya Standard Chartered Tawi la
Mwanza, (wa pili kulia) wakati alipokutana nao katika maonyesho ya
Kongamano la siku tatu la Uwekezaji na Uhamasishaji Kanda ya Ziwa,
lililoanza leo, jijini Mwanza.
Baadhi ya wakuu wa mikoa waliohudhuria Kongamano hilo....wakifurahia jambo kwa pamoja.
No comments:
Post a Comment