Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akijaribu mojawapo ya viti vipya
vilivyofungwa katika ukumbi wa Bunge tayari kwa ajiri ya Matumizi wakati
wa Bunge la Katiba. Mhe. Makinda aliongoza ujumbe wa Tume ya Utumishi
wa Bnge kufanya ukaguzi wa mwisho kabla ukumbi huo haujakabidhiwa kwa
Sekretariat ya Bunge la Katiba Jumatano wiki hii.
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge kukagua ukumbi huo
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda, (katikati) Naibu Spika Mhe. Job
Ndugai (kushoto), Katibu wa Bunge (Wa pili Kulia) na Mhe. Hamadi Rashid
Mohamed Kulia wakiangalia baadhi ya maboresho yaliyofanywa katika Ukumbi
wa Bunge kwa ajili ya Bunge la Katiba.
Muonekano wa Ndani ya ukumbi huo baada ya kazi ya uwekaji viti kukamilika
Mojawapo ya viti maalum vilivyowekwea katika ukumbi huo kwa ajili ya matumizi ya watu wenye ulemavu.
Viti vyote vipya vina nembo ya taifa
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge kukagua ukumbi huo
Muonekano wa Ndani ya ukumbi huo baada ya kazi ya uwekaji viti kukamilika
Mojawapo ya viti maalum vilivyowekwea katika ukumbi huo kwa ajili ya matumizi ya watu wenye ulemavu.
No comments:
Post a Comment