Naibu
Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akifungua kitambaa
kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha
SOS kilichopo jijini Dar es Salaam leo. Kampeni hizo za kuhamasisha
jamii na makundi mbalimbali kuchangia na kumjali mtoto aliye katika
mazingira hatarishi na yatima zinalenga kuwasaidia watoto zaidi ya
12,000 hadi kufikia mwisho wa kampeni yaani mwaka 2016.
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akitia saini
sehemu maalumu kutoa ujumbe wake mara baada ya kufanya uzinduzi rasmi wa
kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es
Salaam. Pamoja na mambo mengine fedha zitakazopatikana katika kapeni
hiyo zitahakikisha zinaongeza idadi ya vituo vya SOS kuwasaidia watoto
yatima na waliopo katika mazingira hatarishi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Bi. Anna
Maembe akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi
kuzindua kampeni. Watoto wa Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam wakiwa kwene hafla hiyo. Mkurugenzi wa SOS Tanzania, Mr. Anatory M. akizungumza na wageni waalikwa kabla ya uzinduzi.
Naibu
Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akiwa katika moja ya
darasa la awali liloloendeshwa na Kijiji cha SOS, darasa hilo pia
linatumiwa na watoto wa kawaida ambao hufundishwa pamoja na wale wa
kituo hicho.
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akiwa katika
moja ya darasa la awali liloloendeshwa na Kijiji cha SOS, darasa hilo
pia linatumiwa na watoto wa kawaida ambao hufundishwa pamoja na wale wa
kituo hicho. Mwakilishi wa Kituo cha SOS kutoka nchini Kenya akizungumza na wageni waalikwa katika hafla za uzinduzi huo.
Burudani mbalimbali za ngoma na sarakasi kwa wageni waalikwa. Meza kuu katika hafla ya uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam leo. Burudani mbalimbali kwa wageni waalikwa.
Ofisa
Mkuu kutoka Kitengo cha Utamaduni Ubalozi wa Ujerumani nchi Tanzania,
Jan Dieter Gosink ambao ni moja wa wafadhili wa kituo hicho akizungumza
na wageni waalikwa kabla ya uzinduzi wa kampeni za 'Nijali Mimi!' (Care
For Me!) leo katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa kampeni ya Care For Me kutoka SOS taifa, John Baptista akiwakaribisha wageni waalikwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wa Kijiji cha SOS wakiwa
kwenye hafla ya uzinduzi wa kampeni ya Care For Me! iliyoandaliwa na
kituo hicho.
Baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wa Kijiji cha SOS wakiwa
kwenye hafla ya uzinduzi wa kampeni ya Care For Me! iliyoandaliwa na
kituo hicho Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Kairuki Azindua Kampeni Care For Me
Naibu
Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akitembelea nyumba
zinatumika kulala watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi
kabla ya kufanya uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika
Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment