Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, February 13, 2014

Picha Mbalimbali Kutoka Dodoma Kwenye Kikao Cha Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM:Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Phillip Mangula leo imewahoji watu watatu Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowasa,Waziri Mkuu wa Zamani Ndugu Fredrick Sumaye na Mbunge wa Sengerema Ndugu William Ngeleja ambaye pia alishawahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...